*Unaenda UKWENI..*
Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote.
Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..
Mama mkwe anajibu kwa nguvu *zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja..*
Hapo sasa.............
๐๐๐๐๐๐
Contact us
WSP 0716 05 29 80
Call 0757 93 41 30
This post have 0 maoni
EmoticonEmoticon